Jide with JK and Lipumba

Lucchese DeCavalcante

JF-Expert Member
Jan 10, 2009
5,471
733

DSC00084.JPG


Hii ni katika hafla ya Mo Ibrahim foundation iliyofanyika Mlimani City Dar es Salaam Usiku wa jumamosi ya tar 14 Nov 2009
 
acha uongo umemuona wapi lipumba???? nenda kapate picha zote kwa michuzi usidanganye watu hapa.
 
Hey,huyu wa katikati siyo Lipumba ni Youssou N'dour, mwanamuziki kutoka Senegal alialikwa na mwenzake Anjelique Kidjo,kutoka Benin...hapo JK anampigia ujiko Jide kwa N'ndour, amsaidie kupaa kimataifa kama yeye.
 
Wabongo bwana hivi hayo macho yako hayaoni ama uko confined na michuzi in terms of news?
usimlaumu sana... yemwenyewe anatumia lensi kusoma maandishi ya kwenye screen....hajui picha ya kwanza ndio ya lipumba......na jD lol teheeteheee..
 
Back
Top Bottom