Jicho Pevu ya KTN inayorushwa Azam Two ni mfano wa uandishi Uliokomaa

Msulibasi

JF-Expert Member
Dec 2, 2014
5,913
7,829
Kipindi ĥiki kimekua kikitoa habari za umafia wa serekali ya Kenya chini ya Mwai Kibaki, Maswala ya usalama km undani wa tukio la Wastegate , Undani na siri ya Kifo cha Prof Saitoti nk. Mwandishi mchunguzi Mohamedi Alli hana mfano wake hapa Tzania kwa mbali Kubenea. Mfano issue ya walibeba fedha kẅenye Sandarus hawajulikan
 
Moha Aje Tz kufanya habari za uchunguzi zipo nyingi sana....Jamaa yupo vizuri nikikumbuka jaramandia kifo cha wanyiti na Rasta si mchezo.
 
Moha Aje Tz kufanya habari za uchunguzi zipo nyingi sana....Jamaa yupo vizuri nikikumbuka jaramandia kifo cha wanyiti na Rasta si mchezo.

Tungalipata waandishi wapelelezi aina hii ttungepata maendeleo makubwa maana propaganda zimezidi
 
Napenda Mohamedi Ali angefanya investigative Journalism ya issue ya Escrow na atuonyeshe waliobeba viroba
 
Jerry Muro alijaribu tuu kwa mapolisi na mnajua alipoishia. Watu wapo mazingira hakuna. Na vyombo vya habari vingi vinapenda urafiki na serikali.
 
Pasco ukimgusia hili anakubia ulimzi hakuna anaipenda familia yake zaidi,
 
Kipindi ĥiki kimekua kikitoa habari za umafia wa serekali ya Kenya chini ya Mwai Kibaki, Maswala ya usalama km undani wa tukio la Wastegate , Undani na siri ya Kifo cha Prof Saitoti nk. Mwandishi mchunguzi Mohamedi Alli hana mfano wake hapa Tzania kwa mbali Kubenea. Mfano issue ya walibeba fedha kẅenye Sandarus hawajulikan

Kwakwel nampenda Sana huyu mwandshi. Kazi zake nzur mno ie jaramanda la mihadarat, ukweli kuhusu Westgate, fake pastor(kanyari), kifo cha Saito, waasi wa drc na biashara ya dhahabu kupitia Nairobi, futari ya sumu etc.

Mim nataman wenye taaluma husika hapa home wajifunze.
Tunakiu ya kujua Nani yupo nyuma ya mauaji ya albino, nataka kujua escrow vzur etc
 
Makala za Mohammed alli hata YouTube zipo...Jamaa hakuna anayemfikia hapa Tanzania.
 
Pasco ukimgusia hili anakubia ulimzi hakuna anaipenda familia yake zaidi,

Kenya kuna umafia kuliko hata tz. Tena mazngra ya Kenya kwa kazi Za kichunguz ni hatar Zaid. Hapa nyumban bado hatujampata atakae dhubutu. Afadhali kubenea kwa mbalii
 
Kipindi ĥiki kimekua kikitoa habari za umafia wa serekali ya Kenya chini ya Mwai Kibaki, Maswala ya usalama km undani wa tukio la Wastegate , Undani na siri ya Kifo cha Prof Saitoti nk. Mwandishi mchunguzi Mohamedi Alli hana mfano wake hapa Tzania kwa mbali Kubenea. Mfano issue ya walibeba fedha kẅenye Sandarus hawajulikan

Kwenye RED inabidi uandike kwa mbali sana, kwani hao wawili ni kama kichuguu na mlima Kilimanjaro. Huyi mmoja anaandika ukauzu wakati mwenzie ni mwanataaluma
 
Mwili hunisisimuka ninapotazama makala za kiuchunguzi za nguli huyu wa investigative journalism Mohamed Ali..hivi hatuwezi kuanzisha petition ya kumuomba Mohamed Ali achunguze kadhia ya Tegeta Escrow?
 
Ukifuatilia vipindi jicho pevu unaweza kuiogopa serekali zaidi ya majambazi. Issue ya mauaji yaliyofanywa na polisi Sinza na ile issue ya wafanyabiashara Mabwepande,Dr Ulimboka hazijawekwa vizuri. Waandishi wetu mpaka waitwe press conference. Hata issue ya Mwangosi haijachimbwa na kesi sijaisikia Kagonja kaamishiwa fire
 
Jamaa angekuja Bongo atuchunguzie haya yafuatayo;
Ajali ya Sokoine
Alipo Daud Ballali
Kwanini Dr Omar Ali Juma aliuwawa kimakosa
Nini kilijiri sakata la Richmond na Escrow
 
Back
Top Bottom