Habari!
Ni vyema kufika kwa daktari anaehusika na tiba ya macho ili:
1: Kuangalia kama kuna madhira yaliyosababishwa na kemikali aliyotoa mdudu.
2: Kama yaliyofanyika baada ya mdudu kuingia, yameleta madhara kwenye jicho (mfano: kufikicha).
3: Dawa ulizotumia zimeleta madhara kwenye jicho.
NB: Usitumie dawa kwa kuwa tu ni ya kutumia/kutibu macho. Nyingine zinahitaji hutumiwa kwa muda mfupi tu au zisitimike kwenye mazingira fulani.