CEOgwamzy
Senior Member
- Jun 14, 2014
- 141
- 51
Jicho latatu juu ya ufunguzi wa kampeni za CCM jangwani
Kuna mambo kadhaa tunaweza kuyaona juu ya mkutano wajana wa CCM wa ufunguzi wa kampeni
Kuna mambo kadhaa tunaweza kuyaona juu ya mkutano wajana wa CCM wa ufunguzi wa kampeni
- CCM wanajua kuwa UKAWA ni wazi wataleta mafuriko ndo maana na wao wamelazimisha hyo kwa kuwaalika wasanii kibao kama FIESTA.(MUDA MWINGI UMETUMIKA KUTUMBUIZA KULIKO KUTOA HOJA)
- Ukitathmini kwa makini utagundua watu wengi wameenda kuwashangilia wasanii kuliko kisikiliza hoja (though siwalaumu cause CCM hawana hoja). Msanii kama DIAMOND watu wengi hawajawahi muona kutokana na viingilio vya shoo yake kuwa juu…
- MKAPA pia kumuita SUMAYE mpumbavu si vyema, kwani tunaweza kujiuliza kama sumaye ni mpumbavu kwa nini alimchagua kama waziri wake mkuu kwa kipindi cha miaka yote kumi ya utawala wake?????(huku ni kukosa hoja)
- Mwisho wa mikutano ya kampeni ni saa 12;00 jioni, lakini mpaka saa 12;34 ndiuo wao walikuwa wanafunga mkutano….yaani wanashindwa hata kutekeleza sheria waliyoitunga wao wenyewe(JIULIZE MAMBO YA KWENYE ILANI YAO WATAWEZA KUYATEKELEZA???)
- Magufuri alikiri kuwa machinga na maman'tilie wananyanyasika, Hii ina maana kuwa serikali iliyopo ndo inawanyanyasa( ambayo ni ya CCM so kuendelea kuiweka madarakani ni kuendeleza unyanyaso wa hao watu)
- MAGUFURI alikuwa anashangaa kuhusu pembe za ndovu kuuzwa uarabuni!! (HAPO NI KAMA ANAMSHANGAA KIKWETE NA SERIKALI YA CCM ambapo kuendelea kuibakiza CCM madarakani ni kuendeleza biashara ya pembe za ndovu uarabuni)