Hivi hakuna namna ya kuuvunja uongozi wote pale TFF? otherwise soka letu bongo linaenda kufa ...Ligi kuu inaanza few montths to come sasa kwa madudu ya ligi iliyopita hii nadhani itakuwa more worse!!!Please
Jamal Malinzi vunja uongozi wote na usuke upya au jiuzuru kwa manufaa ya soka letu. AMEN