Jicho la mwewe: ATCL saga

@
Bujibuji unaanza kuwa Mbuzibee
 


Looo, hivi wewe Bujibuji umerogwa na nani??!!----hujui kupanga ndio kuchagua na ukipanga hovyo utachagua hovyo, kununua ndege kwa muda huu ni uchaguzi wa hovyo kwani ilitakiwa pesa hiyo ya kununulia ndege ingetumika kuimarisha kwanza miundo mbinu ya barabara zote zinazounganisha mikoa ambayo haijaunganishwa na barabara kuu, mfano mkoa wa Kigoma nk, na baadaye barabara muhimu za Kiuchumi zingejengwa ndipo feasibility study ya faida na hasara za uendeshaji wa mashirika wa ndege ingefanywa kabla ya kununua hizo ndege unazotetea.

Juu ya yote umesahau "Mwendazake" alipokuwa anaongea majukwaani kabla hatujanunua ndege??!!, alisema; "Vinchi vidogo vinatushinda vina ndege sisi hatuna ndege!!!"---- hii maana yake ni kwamba tumenunua ndege sio kwa ajili ya biashara yenye faida bali kushindana na vinchi vidogo for Prestige tu ama tupate faida au hasara it does not matter.
 
Wengi wa wachawi hujionesha kuwa watakatifu mbele za watu ili kuuficha uovu wao... muogope sana mtu anayeapa apa ama anayejionesha kuwa yeye ni mcha Mungu...
Anayesimama madhabahuni, watu wanakufa na korona yeye anaendelea kudanganya kuwa haipo. Uwongo kwenye madhabahu iliyotiwa wakfu, kweli shetani ni shetani
 
Kwani manifesto ya CCM kipindi cha mzee Magufuli ilikiwa inasema kuhusu shirika la ndege?
Kununua ndege nying bila kufanta assesment za faida na hasara?

Kama ni huduma tayari kulikuwa na mashirika yanayo toa huduma. serikali ilipaswa kutulia kuangalia miradi yenye kunufaishi jamii kubwa ya watu kwa wakati huu kwasababu tayari tulikiwa na huduma za kujitosheleza za usafiri wa anga.

sidhani kama manifesto ya CCM ilikuwa na mpango kazi wa kununua ndege kiasi hicho, kama walikuwa nao basi CCM niwaPuMBUaVu kupindukia.
 
Longrun ambayo shirika linaanza kupata faida ni miaka mingapi? Na shirika la ndege ambalo limehodhi soko lote la ndani likkiwa pekee unataka ipite miaka kumi likipata hasara alafu ndio faida ianze kupatikana?
 
Agree with you......
 
Hilo andiko lako halikaribiani na ukweli Wala uhalisia wa hoja iliyoko mezani. Tumeshuhudia ATCl ikitangaza kupata faida na kutoa gawio kwa government. Sasa swali la msingi ni kwa Nini walidanganya kuwa wamepata faida wakati wanajua hiyo sio sahihi? Je hilo gawio walillsema wanatoa ilikuwa ni kiini cacho? Na je hilo gawio lilingia kwenye mfuko gani wa serekali? Itoshe tu kusema kwamba watanzania wa Sasa Ni tofauti wa kizazi Cha enzi hizo. Kwa kuwa tumeambiwa ndege zilinunuliwa kwa Kodi zetu ambazo tumekuwa tukizilipa kweli kweli hatuwezi kuvumilia hivo vijihoja Kama ulichotuletea mkuu. The fact that they lied to us that it is making profit is a relevant fact from which they are estopped to tell us that it was making loss and try to agree on the justification of making loss
 
Siyo mpenzi wa serikali kufanya biashara ila...

Ku reason na watu ambao ni ama hawataki au hawana uwezo wa kufanya hivyo.

An exercise in futility.
Huyu bujibuji anapiga kelele alichoandika hakieleweki, tunataka kuona hiyo faida ya bilioni 28 aliyotaja jiwe tipo wapi
 
Hapa poti shida kubwa watu wanajiuliza lile gawio lilikuwa linatokana na nini?
 
Mnabishana na mavuvuzela?
Hayachokagi hayo!
 
Hongera sana kwa maelezo mazuri!
Lakini pia naomba niulize maswali kwanini kwa miaka mitano nyuma tulikuwa tukiongopewa?.
Faida ya kuongopa ni nini?.
Unafahamu tofauti ya miradi na huduma?.
Kuna siku uliwahi kusikia kuwa hospitali zinaleta faida kwa serikali au dhumuni lake kuletea faida?.
Nina maswali mengi lakini naomba majibu ya hayo kwanza!.
 
Magu means Magumashi
 
Kwanini tulidanganywa?wangetuambia ukweli Kuna hasara Ila uwekezaji wa muda mrefu tutapata faida huko mbeleni,kupitia wabunge na hata wananchi wangeishauri serikali kwa usahihi.ila Yale matango tuliolishwa hata wabunge walivimbiwa na kuimba mapambio
 
Point ya watu ni ule uongo kwamba kulikuwa na faida. Ila ni kweli faida ya kuwa na shirika hai la ndege haiko kwenye balalance book pekee. Ni vizuri kufufua ATCL.
Nimegundua kuwa faida ya ndege ni kwa wale wanaotumia na sio shirika.
Vitu na watu vitafika haraka na biashara na kazi zitafanyika. Uchumi utaongezeka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…