Jichanganye uone mke mwenye pesa, cheo utalia

Nimetoka kusuhisha mtu na mpenzi wake. Nimemshauri mtu aache kufuatilia mke wake anapata wapi hela nyingi wakati anajua anafanya kazi.

Anadai mke wake ananunua vitu vyenye gharama kubwa kuliko hela anazopata na anazompa. Pia nimemshauri aache kufuatilia mawasiliano ya simu yake na asitake kujua kama mke wake ana mchepuko huko kazini kwake.

Kama anataka aishi muda mrefu na mke wake ajifanye hajui hayo, yeye aendelee kuwajibika as if mke wake hana kazi na hana kipato.

Kikubwa aheshimiwe kama mume, mkuu wa kaya. Kama mke wake ataonesha dharau zaidi, atoke kiulani akaanzishe maisha kwingine isiwe taabu
 
Naongezea alafu wajuaji Sana kuna Kademu nilikuwa nako full mahadi ya kumuoa eeeh basi bhana najuta kumwambia hivyo akanza kunipanda kichwani kunipangia kila kitu nikosea kidogo kinanijia juu yaaan Kani tawale mimi nikakipiga chini fasta hao sio ukitaka kuteseka kuwa nao
 
Aisee hatari hii

Sent from my TECNO PR651H using JamiiForums mobile app
 
Mwanamke mwenye pesa inabidi akupende, akikupenda husumbuki, nasema hivi husumbuki. Mi nimeshashuhudia.

Wanaume huwa wanasumbuka kwasababu mwanamke anajaribu kukupenda baada ya kukosa options (we sio first love wake) alafu una financial security, siku hiyo security itakapopotea , utateseka unapigwa na tukio moja tu.

Oa au kuwa kimahusiano na mwanamke anayekupenda na wewe unamrudishia in return.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…