Jibu lako nini?

Tokyo40

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2013
Posts
2,065
Reaction score
1,926
1. Fikiria namba yoyote.

2. Jumlisha hiyo namba na 7.

3. Toa mbili .

4. Toa namba uliyofikiria.

5. Zidisha mara 4.

6. Toa mbili.

Jibu lako litakua 18.
 
Lazima jibu liwe hilo sababu namba niliyofikilia nimeshaitoaa hivyo umeendelea na namba zako ambazo mwisho siku lazima upate jibu sahihi bila kuhitaji kujua namba niliyofikilia sababu haiusiki katika ukokotozi wako.:yo:
 
Mbona hapa umejibu kiistarabu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…