Jibu la Mh. Lukuvi lipo jikoni

Jibu la Mh. Lukuvi lipo jikoni

Android 00

JF-Expert Member
Joined
May 23, 2013
Posts
774
Reaction score
226
Jibu lako liko jikoni.

Lukuvi hakustahili kufikia kusema masuala ya udini kanisani tena kwa suala la Zanzibar nchi yenye waislamu asilimia 99%

Nilidhani pale alipoitwa na spika atajisawazisha kosa lake. Lakini ni tofauti ameshishitiza kuwa Zanzibar itakuwa ni Nchi yenye utawala wa Kiislamu ikipata uhuru kamili.

Kauli kama hizi aliwahi kuitoa Waziri Mkuu kuwa Zanzibar si nchi, na alipoambiwa aeleze au afute kauli yake akasema iyo ndo hali halisi sasa je leo ataweza kusema tena kauli hiyo? Je jibu lake alilipata?

Leo akimuuliza Wazir Mkuu atamwambia kuwa yeye ndio chanzo cha mgogoro wa kikatiba.

CCM kwa nini mmechukua nafasi ya marehemu Shehe Yahya Hussein si nafasi iyo mkamuwachia mtoto wake?

Jibu la Lukuvi tutalifanyia kazi kikatiba Zanzibar hatuwezi kugombanishwa kama hivi tukawa tunacheka na kupiga makofi kama wale waliobakia.
Hatuwezi kukubali kunyoshewa vidole kana kwamba sisi ni watoto wadogo.

Lukuvi wala hakustahili kujifananiza na Mrema mtu alochoka mpaka apate rushwa kama alivomuahidi ndio anyanyuke kwenye kiti.

Ahsante.
 
Acheni uchochezi

Huu sio uchochezi tunahitaji kuweka misingi imara ya kuepusha uchochezi kutoka kwa kiongozi,kikundi au mtu mmoja mmoja

haya sio mambo ya kuachwa bila ya kupata jibu athari yake ni kubwa

Athari yake unaitisha hata jamii iliyokuwa si ya kiislamu iliyopo Zanzibar na nje ya Zanzibar

Je unataka kuniambia aliyosema lukuvi kuwa dawa ya Zanzibar ibaki kama ilivyo ndo itakuwa salama? Ni kujidanganya na kuudanganya ulimwengu wanaoishi Zanzibar wote ni ndugu kama watu wanaoishi nchi nyengine yoyote.
 
Ikiwa Zanzibar wakati wake ni asilimia 99 waislamu, si tayari ni nchi ya kiisilamu? Nini kinaizuia wakati ina katiba inayoitambulisha Kama nchi yenye Serikali yake, mahakama na baraza lake la wawakilishi (bunge)? Pengine Mh Lukuvi atufafanulie zaidi kinachozuia sasa kuwa nchi ya kiisilamu?
 
Lukuvi hajielewi na hata anavyoongea anajiamini kwamba hakuna wa kumfanya kitu kutokana na kauli zake zilizo na uzito wa -100, kwamaama nyingine anaongea HEWA.
 
Hawa jamaa wame amua kuukandamiza uisilamu waziwazi,sasa tuta watia adabu.
 
Jibu lako liko jikoni.

Lukuvi hakustahili kufikia kusema masuala ya udini kanisani tena kwa suala la Zanzibar nchi yenye waislamu asilimia 99%

Nilidhani pale alipoitwa na spika atajisawazisha kosa lake. Lakini ni tofauti ameshishitiza kuwa Zanzibar itakuwa ni Nchi yenye utawala wa Kiislamu ikipata uhuru kamili.

Kauli kama hizi aliwahi kuitoa Waziri Mkuu kuwa Zanzibar si nchi, na alipoambiwa aeleze au afute kauli yake akasema iyo ndo hali halisi sasa je leo ataweza kusema tena kauli hiyo? Je jibu lake alilipata?

Leo akimuuliza Wazir Mkuu atamwambia kuwa yeye ndio chanzo cha mgogoro wa kikatiba.

CCM kwa nini mmechukua nafasi ya marehemu Shehe Yahya Hussein si nafasi iyo mkamuwachia mtoto wake?

Jibu la Lukuvi tutalifanyia kazi kikatiba Zanzibar hatuwezi kugombanishwa kama hivi tukawa tunacheka na kupiga makofi kama wale waliobakia.
Hatuwezi kukubali kunyoshewa vidole kana kwamba sisi ni watoto wadogo.

Lukuvi wala hakustahili kujifananiza na Mrema mtu alochoka mpaka apate rushwa kama alivomuahidi ndio anyanyuke kwenye kiti.

Ahsante.

Hayo ni matokeo ya NCHI isiyo na utawala wa sheria kwahiyo hakuna wa kumuonya lukuv kwa huu uchochez
 
Back
Top Bottom