Ingekuwa Party ningekuja.... ila part? nehi.. mi naiogopa sana.
wazee wa saranda tunaruhusiwa kuja?
Basi sawa noja tujitupie kabisa
"Saranda" unamaanisha nini mkuu.
Ingekuwa Party ningekuja.... ila part? nehi.. mi naiogopa sana.
yaani mteremko,sina hela ila starehe nataka
nije?
Hakyanani we kibabu umenifanya nimecheka hadi nimepaliwa na pilau....
mkuu tugonge pilau kwanza ndo twende.. ila lazima utalaumiwa na hili tezi jike langu. mshana jr uko wapi wende ku party mtani???
Mtani upo wapi mida hii....??
Cc miss chagga
mtani niko nyumbani.. kwetu kuna kamvua basi baridi lake kama la mlimani... nimejifunika nakula music tu