nawakaribisha kiota cha SIMBA KAPAKATWA kupata moja moja ya kushtua kabla ya kuelekea kijiwe cha Sinza!!. then Jumapili Church ambapo mtumishi wa Mungu Aspirin atakuwa anaongoza ibada akisaidiwa na mjukuu wake Mwanajamii one. at the same time TEAMO atakuwa anarudishwa kundini.
Afrodensi, Lizzy na FL1 ni mashahidi wa matukio yote!! bila kumsahau baba mchungaji masanilo
si mnajua sisi watu wa mashambani tumekuja mujini daisalamu (Dar City) kutembea kidogo.
C u all
Sioni unapomwongelea mama mchungaji....!Haya maongezi mema!!Niko niko Sema ID mingi....nasepa kidogo tutakutana huko! Nitakuwa na mazungumzo na MJ one
Sioni unapomwongelea mama mchungaji....!Haya maongezi mema!!
Hahahaha...Romance bwana!!Kila mtu na dozi yake mama..acha afurahie kinachomfurahisha!!BTW 1 July kuna lipi linalojiri mtoa mada?!Au mshahara unalemea mfuko?!naona jf ya sasa trend iliopo ni kuchukua majina maarufu na kurusha post aisee.
We nawe umezidi umbea...bado hatujafikia kupata wajukuu sie!!Nimepata meseji Mch amepata mjukuu wa kike....hongereni zenu
Hahahaha...Romance bwana!!Kila mtu na dozi yake mama..acha afurahie kinachomfurahisha!!BTW 1 July kuna lipi linalojiri mtoa mada?!Au mshahara unalemea mfuko?!
nawakaribisha kiota cha SIMBA KAPAKATWA kupata moja moja ya kushtua kabla ya kuelekea kijiwe cha Sinza!!. then Jumapili Church ambapo mtumishi wa Mungu Aspirin atakuwa anaongoza ibada akisaidiwa na mjukuu wake Mwanajamii one. at the same time TEAMO atakuwa anarudishwa kundini.
Afrodensi, Lizzy na FL1 ni mashahidi wa matukio yote!! bila kumsahau baba mchungaji masanilo
si mnajua sisi watu wa mashambani tumekuja mujini daisalamu (Dar City) kutembea kidogo.
C u all
naona jf ya sasa trend iliopo ni kuchukua majina maarufu na kurusha post aisee.
Asprin Usisahau kunipitia ..bila kumsahau RR
cheers
Asprin Usisahau kunipitia ..bila kumsahau RR
cheers
Unasalio la kutosha? wengine tunamimina
Si ma underground mpaka tuje tutoke ni ishu kwa mpango huu eti ehee?
Usahaulifu huo...heheeheh!Nani huyo tena unamwedea undercover?!kuna pia issue ya watu kuchanganya id mimi nataka mtu afungue uzi nina maswali mengi sana au kuna uzi nifuatilie post zake?
Kiboko yako wewe ni Glenfiddich Single Malt nakumbuka wewe siku ile ulichemsha MTM aliondoka bila kuaga hahahahahah
Hahahahahahaha na ile rojo na nguna pembeni balaa MTM alisema anatoka kidogo ikawa jumla
naona umeona walo ju wataendelea kua ju wa chini chini.