Huwa nikitafakari na kuona namna Mungu amenisamehe na majanga yangu na mambo yangu ya ajabu ajabu. Najikuta siwezi weka mtu moyoni wala kuto kusamehe, haijalishi utanitenda nini ndani ya daki huwa nasemehe na kusahahu.. Kipengele labda abaki nacho muhusika
URAKOZE"Don't waste your time on revenge. The people who hurt you will eventually face their own karma.🎯"
Usaorere ifre lyako o mndu ula kukoora kisasi. Wandu wala wakukorere ufi, upu upu wavone ifre lya mbeho ya cho (karma).🎯
Ulekage gucha tulo bulyako kung’wela b’isaji. Ab’andu ab’agukob’ilyaga, hanyi-hanyi b’agub’ona ikolelo lya migelo yab’o.🎯
Usebaje mishi yako kwa kuwaiza usasi. Wantu wakutendeiye wihi, hadoaho nebakomane na malipo ya mambazi yawo.🎯View attachment 3639624
Sijui kuondoa watu, ila huwa wanaondoka wenyewe na kurudi . Mie maisha yangu ni free huwa nalinda sana amani na utulivu wa ndani.. Ukiwa mbaya ukiwa mzuri utakaa na mie
Yes na ndio ivyo, maisha ni ku enjoy