JF Party On My Mind

Regency, Madeira, sherry
Hizo mjomba akitoka zake China huja nazo kibao.

Ya kibongo naona Image naikubali sanaaa!!
Fortified wines zote zina mziki kwenye kulewa! Na zote ni strong!

Unakunywa capirinya??
Asee hii party naona Mohans ndio watahusika ktk vinywaji ,TBL ,SBL na TDL imekula kwao
 
Sket ndo ugonjwa wangu


Afu naokutana nao wanazimua pombe balaa, zikiwapandaa napewa vyotee!!
Of course.... Kuna vilevi viwili tu hapa on earth pombe or sketi! Japo kuna wabishi


Mwanamke ambae anakunywa pombe analewa halafu analiwa huwa namshangaa na kustaajabu sana!

Yaaan I can't get it!
 
Of course.... Kuna vilevi viwili tu hapa on earth pombe or sketi! Japo kuna wabishi


Mwanamke ambae anakunywa pombe analewa halafu analiwa huwa namshangaa na kustaajabu sana!

Yaaan I can't get it!
No, simpi pombe ili alewe ndo nimgegede.

Anakuwa willing, sema wengine pombe inampa ujasiri wa kufanya mengii
 
Hapo sawa!....nilifikiri una kula vibudu
No,
Sijawahi kubaka mimi.

Nishalala na dem ambae alilewa chakar lkn sikumgusaa.
Aliniambia toka mwanzo nisimfanye chochotee.

Ila najuta mana kwa sasa ni star, inaniuma sana
. Juzi kati namwambia we mtoto najuta kwanini siku ile nilikuacha, anajichekesha tu, ila kanihaidi atanipaa siku mojaa lkn mpk nituliee


Ila ingeniumiza sana km ningemfanya siku ile, ni ubakaji ule.
 
Haaaahaaaaa....we jamaa bana
very fun haahaaa!

Asee ungemla kalewa angekulaani wadada hawapendi mambo hayo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…