Hahahahahaa.. siku hiyo ntakua nakunywa maji na juice nisimisbehave
60% likubwa sana. Hilo labda glass tatu ndo naweza isikia flani hivi
60% likubwa sana. Hilo labda glass tatu ndo naweza isikia flani hivi
MmmhWewee lionjage hilo dude!.. sparkling wine alc content 60% huko!....kwangu ile kiboko yangu!
Usipokuja na mimi siendi
Kuanzia mchana mpaka majogoo
Ha ha ha mpe sababu nyingine hiyo ishapita, tutakua pamoja.
Usipokuja na mimi siendi
Vizuri mchumba ili unilinde
Haahaaa.... Maana zilianza mfyuuu na msxchewwwHa ha ha mpe sababu nyingine hiyo ishapita, tutakua pamoja.
Alete tu mrejesho wa kiwango, tarehe na venue.Hapo chacha....
Subscription kwa sasaAlete tu mrejesho wa kiwango, tarehe na venue.