Hata mie sielewi tatizo ni nini.. Sidhani huo upang'ang'a labda wanataka kujua nani na nani atakuwepo. Si unajua wakati mwingine MTU anahamasika akiona Fulani yupo..Ukisoma huo uzi the hype ni kubwa sielewi kwanini wachangiaji wanasuasua.
This should tell "us" kwamba asilimiakubwa ya watu wa JF pang'ang'a nyingi sana.
Hahahaha. Mods watakuwepo mkuu. Ofisi ya JF itashiriki nasi siku hiyo. Nadhani kutakuwepo na nafasi ya kufikisha mawazo na kero zetu kwa uongozi wa JF live siku hiyoNitakuja iwe jua iwe mvua na Mods nanyi mjeni tuwape madhaifu yenu.
Uzuri kwenye party hamtanipiga ban.
Hata mie sielewi tatizo ni nini.. Sidhani huo upang'ang'a labda wanataka kujua nani na nani atakuwepo. Si unajua wakati mwingine MTU anahamasika akiona Fulani yupo..
Hahahaha. Mods watakuwepo mkuu. Ofisi ya JF itashiriki nasi siku hiyo. Nadhani kutakuwepo na nafasi ya kufikisha mawazo na kero zetu kwa uongozi wa JF live siku hiyo
Huyo mtu wanakuwa wanajua nje ya JF ama namna gani?Hata mie sielewi tatizo ni nini.. Sidhani huo upang'ang'a labda wanataka kujua nani na nani atakuwepo. Si unajua wakati mwingine MTU anahamasika akiona Fulani yupo..
Venue?Karibu sana
Mkuu, kero na malalamiko fikisha jukwaa la complaints huko ni bata pekee!Hahahaha. Mods watakuwepo mkuu. Ofisi ya JF itashiriki nasi siku hiyo. Nadhani kutakuwepo na nafasi ya kufikisha mawazo na kero zetu kwa uongozi wa JF live siku hiyo
Haya Mama 😉Basi tuu..
Labda waje watuteke wote mkuu.. Hapo watafanikiwa.MMMH TUSIJE KUSANYWA KAMA KUKU BANDANI
Manake wasiojulikana wakikuteka na kukupa sharti la kufa au kubakwa aisee lazima kila mtu atataja ID yake na passcode hapo hapo
Anyway ngoja tuone kwanza upepo unavyokwenda
Hakuna wa kukudaka bana kwa kipi? Umekuwa MO[emoji15]MMMH TUSIJE KUSANYWA KAMA KUKU BANDANI
Manake wasiojulikana wakikuteka na kukupa sharti la kufa au kubakwa aisee lazima kila mtu atataja ID yake na passcode hapo hapo
Anyway ngoja tuone kwanza upepo unavyokwenda