Wilson Gamba
JF-Expert Member
- Mar 1, 2013
- 820
- 917
Yani weweee [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Vipi darasa la Mahaba pia umelipitia??
Yani weweee [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
wacha weeee Kasie mahabaAbeeeh, nimefanyeje tena jamanii???
Naitwa Kasie Mahaba Matata.
Haya, lipa ada ya shule sasaKwa muda wa miaka 5 mitano kuwa hapa jukwaani,nimejifunza mengi na kuongeza maarifa kwa kusoma mada mbalimabli katika majukwaa mbalimabli,wanamember wote waanzilishi wa mada mbalimbali wamekuwa walimu muhimu kwangu.Najivunia kuwa huku kwa watu makini na wastarabu.
a.k.a kungwiAbeeeh, nimefanyeje tena jamanii???
Naitwa Kasie Mahaba Matata.
Ahahahahaaaaaa uchochezi huoVipi darasa la Mahaba pia umelipitia??
Ahahahahaaaaaa uchochezi huo
Nakutakia kheri msimu huu wa sikukuuNimeitika Hazchem, mie na party hukooo na Dadii.
It's time to party oooh. Msimu ndo huooo umeingia.
K' Matata.
Naunga mkono hoja