Je una swali?
Je una changamoto yoyote?
Je kuna ufafanuzi unahitaji?
Karibu hapa wakongwe wakuhudumie.. Si kila kitu tuwasumbue moderators mengine tunaweza kusaidiana hapa hapa
Jf ya zamani ilikua na michango ya maana sana, uzuri historia hazifutiki search thread za miaka hiyo 2008 huko watu walikua wanamichango ya kujenga sana...... Hata kama kulikua na masikhara ila ustaarabu ulizingatiwa.
Je una swali?
Je una changamoto yoyote?
Je kuna ufafanuzi unahitaji?
Karibu hapa wakongwe wakuhudumie.. Si kila kitu tuwasumbue moderators mengine tunaweza kusaidiana hapa hapaView attachment 3140087
Tofauti ipo.
1. Sasa hivi kuna vichaa wengi wamejiunga humu. Utawatambua kwa comments zao.
2. Watoto pia wamejaa humu. Kama wewe ni mtu mzima Uandishi wa kitoto utaujua tu. Zingatia neno utoto
4. Mods nao nahisi ni hawa wapya- baadhi yao wana mambo ya hovyo; mfano kufuta baadhi ya comments au threads ambazo wala hazina ubaya wowote. Zamani JF ilikuwa kweli "Where we dare to talk openly"
5. Mengine wakongwe wengine wataongezea