Jf members woooote, mnakaribishwa!!!!

hongera sana STIDE nakutakia kila la heri kwenye maandalizi ya ndoa na harusi yako. Siku muhimu sana. Karibu chama cha wakubwa

cc Mentor mwekundu.......mjitahidi na nyie, sio kila siku kusalandia wake za watu tu
teh teh kwani ukioa unadhani kinga ya kutosalandia outside inaondoka?ndo kwaanzaa speed mia watoto wa mjini wanawapenda waume za watu wanajua ku handle cc Mentor
 
Asanteni sana wakuu, samahani nilichelewa ku-reply. Ila msijari KARIBUNI SANA.

Kuhusu ukumbi, HARUSI hii itafanyika ki-Bukoba zaidi, ukumbi utakuwa nyumbani kwetu.

yaani wewe sijui ni muolewaji sijui muoaji hujawahi kuona post nzuri iliyokugusa kuanzia 31/08/2011 hadi leo hata kumpa mtu like? au kwako ww kitu like hakuna?
 
yaani wewe sijui ni muolewaji sijui muoaji hujawahi kuona post nzuri iliyokugusa kuanzia 31/08/2011 hadi leo hata kumpa mtu like? au kwako ww kitu like hakuna?


Thanx alot 4 your embarassiment Mkuu!!! Ubarikiwe!!

Ila nadhani "LIKE" ni ndogo kuliko DHARAU ZAKO, au wewe kwenu "STIDE" ni wanawake!!!?? Unaweza kuonyesha hisia zako bila matusi na ujumbe ukafika Mkuu!! Sio wote tunaendekeza au tumelelewa ktk matusi na dharau!! BADIRIKA!!!!

Kuhusu "LIKE" nimeshalifafanua kwamba tangu nimejiunga JF huwa natumia simu, kitufe cha LIKE hakipo!!

Umekaribishwa kwenye HARUSI Mkuu kama LIKE ni nauli, naomba members wakugongee ili usikose!!!

KARIBU SANA!!
 
STIDE tarehe hizo ntakuwa bk actually ijumaa naingia bk nitakuja kwa harusi yako.
 
Last edited by a moderator:
haya sasa kambi imepata pigo. Hongera, na safar njema.
 
STIDE tarehe hizo ntakuwa bk actually ijumaa naingia bk nitakuja kwa harusi yako.


Safi sana Mkuu amu!! Nitafrahi sana, kama vp ni-PM nikupe ramani.

KARIBU SANA.
 
Last edited by a moderator:
Fakhrina umeolewa?


Una maanisha nini!!??
"STIDE" kwenu huwa ni wa jinsia gani? Wakati mwingine dharau hazijengi!! Sio lazima kukomenti kwenye huu uzi kama nia yako ni dharau!!

Btw, kosa langu kwako ni lipi hadi hivi!!??
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…