Jf members woooote, mnakaribishwa!!!!

mkuu mimi ningekuchangia ila inaonekana wewe hutashukuru hata kwa mchano wangu huo! maana hujawahi hata ku appreciate mchango wa mtu humu na kumpa like! duuu! anyway harusi njema!

Usijari Mkuu wangu asante kwa mchango wako, ila ni kwasababu huwa natumia cm.
hongera sana STIDE nakutakia kila la heri kwenye maandalizi ya ndoa na harusi yako. Siku muhimu sana. Karibu chama cha wakubwa

Asante Mkuu KARIBU SANA.

cc Mentor mwekundu.......mjitahidi na nyie, sio kila siku kusalandia wake za watu tu

Hongera sana,apatae mke apata kitu chema

UBARIKIWE SANA MKUU. KARIBU.
 
Last edited by a moderator:
Hahahahaaa!
Kaka itabidi tumtakie tu safari njema!!!
...
Si wengine magari yetu mabovu hayahimili safari ndefu!!!!
Haha jitahd myafanyie service yajtahd hata kufka hapo mwanza,maana safar fup hazna enjoyment thana
 
Haha jitahd myafanyie service yajtahd hata kufka hapo mwanza,maana safar fup hazna enjoyment thana

Kweli kabisa!
Safari fupi majanga!
But tutafanyaje sasa?
Gari lenyewe frm china! Kinyume na hapo.......!
 


Ndiyo maana kasema m pm kwa maelezo zaidi..
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…