Wapo wanaofahamiana,
Wapo wanaofahamika bila ya wao kuwafahamu wanachama wenzao,
Wapo pia wanaojifanya wanawafahamu wenzao hali ya kuwa katika uhalisia hawawafahamu hata kidogo.
Yote kwa yote kutokufahamika kunampa nafasi kubwa ya uhuru wa mawazo mwanachama,pengine hata kuandika vile ambavyo anahisi kama angekua anajulikana na fulani na fulani humu asingeweza kuandika.