Fantastic mood [emoji4][emoji106]Hahaaaa. I guess its a mood thing.
Tena usisababishe English ipande sasa hivi siitaki.
Ilisababisha nikachimbwa biti na The Icebreaker
Fantastic mood [emoji4][emoji106]
hahaha nimetamani kujua hilo biti ilikuaje...
acha ipande tu English bwana nijifunze na mm saa hii,
hao kuwepo kawaida lkn hata ss tunaopenda tupo...tena wengi tu.Apana aisee kuna watu huwa wananimaind
Ahahahaa! Hapana Dada,kua free tu,Hahaaaa. I guess its a mood thing.
Tena usisababishe English ipande sasa hivi siitaki.
Ilisababisha nikachimbwa biti na The Icebreaker
Ahahahaa! Hapana Dada,kua free,tatizo sisi tusiokua na elimu,yaani wenye elimu duni,maarufu kama darasa la 4b mkiongea lugha ya mkoloni mnatudhulumu!
Umeniita?
Nakusalimia babuUmeniita?
Sssshhhhhiiii... niko darasani.
Huyo wa katikati ni mwanachama maarufu sana hapa JF,...View attachment 787881
Ahsante sana mjukuu. Ushapata boyfriend au bado unaendeleza uchoyo?Nakusalimia babu
Bado natafuta babu.Ahsante sana mjukuu. Ushapata boyfriend au bado unaendeleza uchoyo?
Ukikosa kabisa urudi nyumbani kwa babuBado natafuta babu.
Hauna kijana yeyote kwani babu atakaenifaa?,Ukikosa kabisa urudi nyumbani kwa babu
Wapo tatizo watakushinda tabia...Hauna kijana yeyote kwani babu atakaenifaa?,
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]yaani we acha tu emu mcheki mazee Mshana kwa sasa ni hendsame anamtoto mkari mwenye chura