FirstLady1
JF-Expert Member
- Jul 29, 2009
- 16,789
- 5,417
- Thread starter
-
- #161
Dah ubize sometime mbaya kweli!!!
FL1 asante mama kwa kutupa sehemu ya kushea maurembo na umbea kidogo....japo naona kina kaka nao wamevamia utadhani sketi wanavaa!!!
Well mimi napenda sana jeans..legging na jeggings tight nikitupia na top au shati oversize kidogo na jimkanda kwa juu basi naridhika!!
Zamani nlikua namaind vimini ilasiku hizi magauni na sketi za marinda marinda ndo napenda...hapo na wedges nimemaliza!!
Viatu kwanzia heels...flats...raba siku najiskia kutoka kimtaani mtaani..
Nywele napenda sana nikiwa na afro sema wakati mwingine nashawishika kuweka dawa...na kusuka rasta napenda sana!!
Pochi sipendi kiviiiiiile japo sikosi begani.....ila kwa miwani huniwezi maana napenda kupitiliza!!
Make up...wanja, lipgloss na bronzing powder kidogo!!
Accesories kofia yani sana...mpaka bushori zile kama tuvyoziita huku Ungalii navaa...then hereni na bangili naona nimeanza kuvaa sana lately!
Ngoja nirudi bize alafu baadae nije kumalizia kusoma mashosti wengine mwapenda nini!!
A very nice topic.
Binafsi kutokana na nature ya kazi j3 hadi ijumaa ni full suti iwe sketi au surali ila napendelea sana suti za suruali.
Nikiwa home kikaptula/pensi na kitop au kigauni simpo cha kitenge,
wikiendi jinzi na tishet au kiblauzi,
Napenda vitenge na batiki lakini sio zenye mashamsham huwa nashona vigauni simpo au kaptula,
Napenda sana handbags za designers,
Shoes it depends na juu nimevaa nini,
nywele ni fupi natural,pia napendelae kusuka rasta,
manukato sio mpenzi wa vitu vyenye harufu kali so natumia spray na deodorant za johnsons and johnsons,
sio mpenzi wa make-ups.
kifupi niko simpo.
Si unajua nawapenda dada zanguTF mbona huchezi mbali na hii stread ?
Dah!!! Hapa sio mimi kuna mtu aliiba pasiwedi yanguharoooooooooooooooo wewe naomba nianze kukurudishia advance ulizoanza kutoa
Kumbe bado unatafuta aaaaaaaaaaaaaaaaagh.:israel:
Yah!! You know i put my swag on niko fit kwenye mavazi aina yote angalia nisije nikakutoa knockout lol!!!duu kumbe wazijua swagga
Naona Kina dada JF tuko Juuu no mkorogo no vidonge vya kujichubua
iko njema sana.
Wapi Mj1?
eti ''Lol'' ni nini? Husninyo
A very nice topic.
Binafsi kutokana na nature ya kazi j3 hadi ijumaa ni full suti iwe sketi au surali ila napendelea sana suti za suruali.
Nikiwa home kikaptula/pensi na kitop au kigauni simpo cha kitenge,
wikiendi jinzi na tishet au kiblauzi,
Napenda vitenge na batiki lakini sio zenye mashamsham huwa nashona vigauni simpo au kaptula,
Napenda sana handbags za designers,
Shoes it depends na juu nimevaa nini,
nywele ni fupi natural,pia napendelae kusuka rasta,
manukato sio mpenzi wa vitu vyenye harufu kali so natumia spray na deodorant za johnsons and johnsons,
sio mpenzi wa make-ups.
kifupi niko simpo.
Love you all najua mko vere busy :love:
Tupige story hapa napenda kujua kina dada mnapenda nini upande wa
wa mavazi, nywele ,viatu na mengineyo mwajiweka vip manake najua kila mtu anavitu vyake anavyopenda !
Natamani kuwaona siku moja wooote ..
Nikianza na List kama ifuatavyo!
Mimi Binafsi napendelea sana kusuka rasta or dread lakini nywele iko natural sometimes naachia afro shiraz popote utakaponiona lazima Napenda jeans tight na vitop top kumechisha
Napenda ma handbags na makorokoro kibao sina mkorogo napaka mafuta ya nazi usoni made in mimi mwenyewe no make up napenda nguo za vitenge za kushona nk nk
Nitaendelea
Napita tu Superman:car::car:Mmmh! Thats so nice jamani . . .
Daisy nimeku-PM . . . .
Jamani naomba msianze unoko wenu . . . haaaa haaa
Si ulisema umemfananisha lolFL1 kama ni hivyo basi nakufahamu, kama vile nimewahi kukuona mitaaa ya mjini kati vile . . . kama vipi vipi weka picha yako au jielezee ulivyo kisha nitajua. lakini huyo mdada anafit description uliyotoa ya mavazi nk perfectly . . .
Duh!
Napita tu Superman:car::car:
Si ulisema umemfananisha lol
Hahaha haya kaka TERMS AND CONDITIONS APPLY lol 111Mkuu niaje?
Si umeona mambo ya kule ya mgao yameshindikana? Tulindane Kaka!
FL1 kama ni hivyo basi nakufahamu, kama vile nimewahi kukuona mitaaa ya mjini kati vile . . . kama vipi vipi weka picha yako au jielezee ulivyo kisha nitajua. lakini huyo mdada anafit description uliyotoa ya mavazi nk perfectly . . .
Duh!
naona wewe unaenda sambamba na fashion
itabidi tuonane bana ...tuanzishe chama cha kina mama / dada JF
Ile miwani ya Christian Dior niliyokutumia ulipata???Mhhhh chama kitakua na madhumuni gani vile mama wa kwanza??
eti ''Lol'' ni nini? Husninyo
TF mbona huchezi mbali na hii stread ?
Husninyo wewe lol!!!!umemuona eeh! Hachezi mbali unga robo.lol!