Yohimbe bark
JF-Expert Member
- Sep 1, 2019
- 2,843
- 7,250
Nimejaribu kuifungua kawaida imegoma mpaka nimewasha VPN au washafanya yao??
Ndio vizuri, unda account mpya tumia VPN tuiseme serikali kwa uhuruNimejaribu kuifungua kawaida imegoma mpaka nimewasha VPN au washafanya yao??
Nadhani wewe ndio akili yako itakuwa imefungiwa!Nimejaribu kuifungua kawaida imegoma mpaka nimewasha VPN au washafanya yao??
🤣🤣🤣🤣washafanya yao nimewasha vpnNimejaribu kuifungua kawaida imegoma mpaka nimewasha VPN au washafanya yao??
Mimi hata sijui kwani umeona nini?Nimejaribu kuifungua kawaida imegoma mpaka nimewasha VPN au washafanya yao??
Sawa mkuuNadhani wewe ndio akili yako itakuwa imefungiwa!
Ndio mkuu.Ndio unaamka?
Kwangu bila vpn imegoma kufunguka.Mimi hata sijui kwani umeona nini?
Inawezekana kabisaIngawa mimi naipata kwa vpn, hivi hadi kesho na kesho kutwa kwa vpn tunaweza kuipata labda?
Yah kwa vpn uhakika.Ingawa mimi naipata kwa vpn, hivi hadi kesho na kesho kutwa kwa vpn tunaweza kuipata labda?
Hapa Ndiyo Bongo Nyumbani AiseeNimejaribu kuifungua kawaida imegoma mpaka nimewasha VPN au washafanya yao??
Huyu atakua abdulHapa Ndiyo Bongo Nyumbani Aisee
NaamVPN chap kwa haraka