It's good idea for real, even hata kama sio nyumba inawezekana kuanzisha hata mradi mwingine tofauti wenye faida, watu wakaandika proposal na hata kupata mkopo kutoka taasisi za kifedha, sababu taasisi nyingi za kifedha zinapenda group of people
Aisee hapo kwenye saccoss sijui kilitokea nini. Nilikua mfatiliaji mzuri tu, lakini siku moja niliamka na kukuta uzi una password, then ukapotea na sikuuona tena.wazo zuri tatizo wanajjf kwenye kukutana na kupanga ndio kila mtu atajifaanya yupo busy utafikiri anaumba roho za watu. watu walioshiriki kwenye mchakato wa JE saccoss wanaelewa namaanisha nn.
Ni wazo zuri, lakini utekelezaji ili ufanikiwe hautakiwi kuhusisha watu wote.
Kunatakiwa kuwe na watu wawili au watatu ambao wanasimamia zoezi na kampuni ambayo itajenga. Ujenzi wa wengi haufai kufanywa kwa kutumia mafundi "wa kuokoteza" kwa sababu kutakuwa na too many irregularities na changes zinazoweza kuwa sababu ya migogoro.
Members wengine watoe equity kulingana na hesabu za gharama na wawe na fursa ya kutembelea site kuona maendeleo.
Changamoto ni kupata watu hao wawili au watatu ambao wanaaminika kumanage mamilioni ya watu...
Kweli sana kiongozi, inabidi kuwe na level kubwa ya organisation and trust. Lakini makundi mengine mbona yanaweza?
Nadhani tatizo ni kwamba, kila mtu anajiona anajua zaidi ya mwenzake, na hataki kuwaamini wenzake. Over criticism nayo inasababisha mambo yasiende vizuri kwani watu wengine wanakata tamaa mapema..
Yaan nimecheka hadi basi, unajua tatizo watu hamuielewi hii forum, kwanza kuona tu mtu amechagua ID fake ujue kuna mengi yanafichwa na anaweza fanya chochote, pili anakuwa hata hajulikani alipo kuliko angetaja jina kamili ingekuwa aibu maana wanaomjua wangemshangaa. Hapa tunajadiliana na kuitikia au kupanga kuwekeza mahali fulani ila ungekuwa una uwezo wa kutuona wapi tunakoishi au fanyia shughuli zetu wakati huo nafikiri ungeghairi na kusema basi sijapata watu. ni wachache walio wazi kwamba kitu fulani nitakuja au sitakuja au nitashirika etc wengine wanaitikia ila wapo mbali na pia hawana nia kiivyo.wazo zuri tatizo wanajjf kwenye kukutana na kupanga ndio kila mtu atajifaanya yupo busy utafikiri anaumba roho za watu. watu walioshiriki kwenye mchakato wa JE saccoss wanaelewa namaanisha nn.
Ni wazo zuri, lakini utekelezaji ili ufanikiwe hautakiwi kuhusisha watu wote.
Kunatakiwa kuwe na watu wawili au watatu ambao wanasimamia zoezi na kampuni ambayo itajenga. Ujenzi wa wengi haufai kufanywa kwa kutumia mafundi "wa kuokoteza" kwa sababu kutakuwa na too many irregularities na changes zinazoweza kuwa sababu ya migogoro.
Members wengine watoe equity kulingana na hesabu za gharama na wawe na fursa ya kutembelea site kuona maendeleo.
Changamoto ni kupata watu hao wawili au watatu ambao wanaaminika kumanage mamilioni ya watu...
Cha muhimu ni good selection of participants. Sio kila mtu anafaa. Then kuwe na high level of transparency.
Lakini vyote hivyo msingi wake ni good intention. Kusiwe na mtu anayetaka kuwafanya wenzake deal.
In this idea specifically, wewe kama author of the idea unaweza kutengeneza plan kamili then kuspot and recruit watu unaoona wanafaa. Mkachagua wasimamizi/viongozi na kuanza utekelezaji.
Lakini kuna maswali ya msingi ya kujijibu kabla ya kuanza:
1. Je, lengo la ushirikiano ni nini? lengo haliwezi kuwa kupunguza gharama za ujenzi kwa sababu unit price ya nyumba mtakazojenga kwa kikundi itakuwa kubwa kuliko mtu akijenga mwenyewe. Sababu ni kwamba ujenzi wa vikundi ni lazima uheshimu taratibu zote za kisheria ambazo huongeza gharama. Taratibu zisipofuatwa ni mwanya wa migogoro.
2. Taratibu gani zitatumika kwenye maintenance of shared areas. Msijenge nyumba halafu kila mtu atake kuchimba shimo lake la takataka.
3. Repairs policy. Nyumba isije kupata ubovu halafu mwengine aone ubovu huo haustahili kurekebishwa.
4. Policy ya matumizi. Isije kutokea mmoja wenu akageuza sebule yake kuwa kilabu cha pombe.
Hizi policies ni vizuri zikiwa registered kisheria kwa sababu nyumba ni long-term property.
Advantage ya kujenga pamoja ni kuweza kuboresha miundombinu kwa umoja. Lakini in my view inafaa zaidi kushirikiana kuown eneo kubwa ambalo kila mtu atajenga kiwanja chake, kuliko kujenga ghorofa ambalo mtagawana apartments.
Its human nature kutokuamini kama kitu fulani kinaweza fanikiwa sasa wachache wenye kuamini waendelee na idea baadae members watakuja wakiona kimetokea!wazo zuri tatizo wanajjf kwenye kukutana na kupanga ndio kila mtu atajifaanya yupo busy utafikiri anaumba roho za watu. watu walioshiriki kwenye mchakato wa JE saccoss wanaelewa namaanisha nn.
Issue ni watu ni rahisi kujitokeza kuuza kununua maana ni vitu vya muda papo hapo lakini ukija suala la commitment tuwe wa kweli ni ngumu mtu kuchukua mamilioni na kuwekeza na mtu hujamjua vizuri, na kujuana inachukua muda hapa tayari kuna watu tumewaamini na unaweza kuona waweza fanya nao kitu fulani. Pili wengi wetu tayari wameishajiingiza kwenye ujenzi na wanaendelea taratibu....funds. sasa kuwatoa huko waanze kingine inakua kazi. Afu kuna hizo athari za kushare apartment nafikiri tuliokaa maghorofani muda mrefu wanalijua hili: maintainance, kelele, wageni+wanyama mf paka, mbwa, parking nk vinahitaji strict policy otherwise ni majuto. Lakini wapo ambao ni vijana au hawajaanza ujenzi au wana extra capital watapatikana na ni kitu kizuuri sana. Just a matter of timeIts human nature kutokuamini kama kitu fulani kinaweza fanikiwa sasa wachache wenye kuamini waendelee na idea baadae members watakuja wakiona kimetokea!