Haha haha.. mkuu upo vizuri vipi unashiriki shindano!Yooo yooo yooo
Ndani ya jf kumejaa mathinkers, lakini wanamezwa na masinkers
Unaweza uliza swala na maana, lakin unaonekana una laana
Thread za pumba, ndio zinatambaa
Hivi wana jamvi mmejiuliza, kwann mnapenda kujadili mauzauza?
Bongo tuna rais wa ujenzi, hata nzi akiacha ujinga asali hatengenezi?
Viongozi nao wanataka miongozi, najiuliza hawajui uongozi?
Jf ndio nyumbani, ndio wangu wa wa ubani!
naomba kujua we ni mbabu mbaba au kijana?Wewe kwa hiyo kelele ni shabiki hauwezi kuwa msanii
Ngoja tuwasubirie jamaa waje then mada itakuwa mezani.. natamani pia ila acha niwe mtazamaji.Cheka kidogo ila usilete nyodo/
Inasikitisha kuona mama huruma akileta nyodo/
Wabongo hawana dogo/
Ukiwazodoa wanakurarua kama mbogo/
Wapinzani wameguka maninja hawajui Mimi ni ninja hunter/
Hata wakikimbia himaya nitawafuaata kama slave hunter/
Hehehe!
If you get your followers through Twitter,you'll lose them[emoji117] JAMII FORUMS.
Hey!! Ma- nigga!
Mkuu niweke kwenye list kabisa, lazima niwafunike 😀 😀 😀Haha haha.. mkuu upo vizuri vipi unashiriki shindano!
Kamanda upo vizuriJf ni kila kitu,
Hisia mwitu,hawashtuki?
Hawaambulii kitu,hawataki?
Hawaelew kitu,bashite mamluki
Kiwaki,naflow kal,
Nawadhofisha wanokoo,
Medali za hili shindano,
Nitabeba mimi,
kijana wamakamo,msimamo
nawacha na mshono,
usingiz wa pono,
Mwendo konokono,
Thanks wana jamii forum,
Kasinde anapenda sana mihogo/
Huwa najiuliza hivi huyu ni muha au mgogo/
Fedha za bure hazipo tena kwa vigigo/
Benzema Bernabeu kawa kama gogo/
Hasongi mbele mpaka asukumwe nyuma kama gogo/
Wadau wanapiga mayowe kawa mzigo/
Kama hupendi kata,basi kasome feza/
Maisha magumu,jawabu lake Fedha/
Sawa-sawa Mkuu!!!Ngoja tuwasubirie jamaa waje then mada itakuwa mezani.. natamani pia ila acha niwe mtazamaji.
Yes, my check one twoWozaaaaa kwanza npe bit zito mike nishike,
Uoga unitoke kuna bwege nimpake,
Huyu si mwingie bt ni yule Bashite,
Madada leta poda wanja mupake,
Hiwej mtot wa kiume kule nyuma afungashe?
Anyway Ngoja nihame mtaa,
Hapa michano maboya watakaa,
Hiwe humu Jf kumejaa unyanypaa,
Naona utengano hadi kweny majukwaa,
Mara wakongwe ,makapuku ndugu achen unaaaa