Wakuu tumesikia budget ya tanzania na tunadelea kusikia bajeti na mipango ya matumiziya mendele ya wizara na idarambal mbali.
Napenda kuleta challenge . Assume wewe ni waziri wa wizara yeyote ya JK au waziri Kivuli. je bajeti yako au bajeti kivuli itakuwaje?
Utendaji wa wizara yako unaathiriwa na nini kuna mapungufu gani
Ni miradi gani specific utapanga kukamilisha kwa mwaka mmoja kwenye wizara yako
Ni miradi gani mikubwa utapenda kuanzisha na itakamilika baada ya miaka mingapi
Vipaumbele/ priotisies za manendeleo katika waizara yako zitakuwa zipi?
Vitu gani utaagiza vifanyke kwenye wizara na idara zilizo chini yako kufanyia kupunguza matumizi na gharama za kiunedeshaji ili pesa ziende kwenye maendeleo
Duh great thinkers wa Jf wanapenda kuwa reactive tu let be proactive mara moja moja . Tu assume sisi ndo mawaziri tutoe pririty zetu then tuone sisi kwa sisi tutakosoana vipi?