Only 1 personsmile Nyani Ngabu na Superman
JF naomba kuwatangazia kuna Easter Ngorongoro tour inakuja na maandali yanaendelea kama ifuatavyo!
Nautaratibu wa Camping site huko hivi!
Kila tent litakuwa na uwezo wa ku accommodate watu wawili Gender aijalishi ninyinyi kujipanga!
Mnaomba kila mmoja wenu apange angependelea kwenye tent apangwe na nani ili tuone kama totweza ku accommodate tents for all members.
CC: amu, Tulizo, lara 1, Paloma, Asprin, Superman, Kaizer, Preta, Zion Daughter, King'asti, Kipaji Halisi, watu8, Ruttashobolwa, Jiwe Linaloishi, Vin Diesel, KOKUTONA, FirstLady1, mwaJ, cacico, figganigga, Nivea, Smile Dark City Mrejesho
ok @ NITAKUJA NAEOnly 1 person
Mimi ni tour operator katika ulimwengu wa kawaida, kama mko serious let me know na nita-coordnate hiyo tour. Karibuni.
umenikumbusha tempo yangu baada ya six nilikuwa CONCIERGE niliifurahia
mmmh kwani wewe? uje tulale woteMmmmmmwaaaaaaaa i love you mpenzi The secretary........ahsante kwa kunikumbusha tulivyokutana first time!
papaaa ya arusha ,mama hajambo?Mimi ni tour operator katika ulimwengu wa kawaida, kama mko serious let me know na nita-coordnate hiyo tour. Karibuni.
mipango ipoje? niambie mapema nijue nibook kwa baby yupi mie!in Ngorongoro I don't do tents.......may be a hotel room..... (he he he).....
in Ngorongoro I don't do tents.......may be a hotel room..... (he he he).....
mipango ipoje? niambie mapema nijue nibook kwa baby yupi mie!
umenikumbusha tempo yangu baada ya six nilikuwa CONCIERGE niliifurahia