Heh kumbe huwa nachelewa kureply ndo mana unazd kuwaganda hao kina Asprin et al. Usiogope kongosho we ni wangu xaxahv onward. Achana na hao wazamani bhana. Hv washawahi kupa maini hata cku moja, kwangu yako kibao unachagua, ukitaka ya mbuzi mzee yapo afu km kichwa kinagonga unameza asprin 2naendelea kula bata. Hebu chagua sehem ya mtoko wkend hii twende wp mamii?