Ha ha ha!!Bora umenishusha pumzi!!!!
Tupange zetu safari yetu ya Tanga na jinsi tutakavyokula good time!!!
U must be in scene!
mimi na wewe tu wife! Nataka niwaunganishe sweetlady na Nicas Mtei maana wanaonekana ni wapweke sana! Lol...
Lily Flower mambo ? Kwema?
Kwema baby ya Filipo, ila kuna mtu naona anyemelea kama simba mwenye njaa.
Hehehehe! nitonye kunitosa mimi itakuwa ngumu... Wa kwenda nae Tanga ni Mungi...mwache Nicas Mtei ajivinjari na marejesho wake! Kaenda dar wiki tu kaopoa nyumba ndogo daaah kweli marejesho kiboko yao lol
Ageukie upande huo wewe ndio umemuita?Eeh ndio geukia upande huu Mungi babe.
Yap. Nipo kwenye love scene..
Hahahaha! Mwambie huyo lol.