Akili Unazo!
JF-Expert Member
- Feb 18, 2009
- 3,930
- 4,938
basi sawa utamwambia nini?
Amesema Ni Salamu Wewe Unataka Amwambie Nini? Miss Chagga Acha Mambo Yako,umesharudi Kutoka Moshi?
Kuendesha huku kwetu unamaanisha kuharisha!
Sasa ndugu yangu Ng'wanapagi kweli kiswahili kimekuwa kigumu kueleweka kiasi hicho...
Amesema Ni Salamu Wewe Unataka Amwambie Nini? Miss Chagga Acha Mambo Yako,umesharudi Kutoka Moshi?
Miss chagga sijakuelewa ulichokiongea
Hizo siku mbili tumia kwa kulala ba kupumzika.
wakubwa heri ya mwaka mpya...
Wakuu kama kuna jf member tabora na angependa tusabahiane basi nipo mpaka kesho baada ya safari ndefu ya kuendesha kutoka kigoma.
Wiseboy nipe muongozo kiongozi nitaboreke