Shadow7 JF-Expert Member Joined Sep 28, 2020 Posts 33,952 Reaction score 56,148 Jul 24, 2024 #41 Sandaaa
C Chief Sanze JF-Expert Member Joined Jun 13, 2014 Posts 1,693 Reaction score 3,821 Jul 24, 2024 #42 Si wangeandika sandaland kuliko kujifanya wanaandika kwa kifupi wameharibu kila kitu wamewapa cha kuongea Yanga.
Si wangeandika sandaland kuliko kujifanya wanaandika kwa kifupi wameharibu kila kitu wamewapa cha kuongea Yanga.
Yoda JF-Expert Member Joined Jul 22, 2018 Posts 64,622 Reaction score 110,305 Jul 24, 2024 #43 Mbimbinho said: Hii Sanda itaathiri sana mauzo ya hizi jezi msimu huu Click to expand... Msiogope, vaeni tu sanda
Mbimbinho said: Hii Sanda itaathiri sana mauzo ya hizi jezi msimu huu Click to expand... Msiogope, vaeni tu sanda
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 178,725 Reaction score 196,461 Jul 24, 2024 #44 Ahsante kwa taarifa... Cc: Mahondaw
Kipenzi Changu Platinum Member Joined Aug 24, 2011 Posts 59,573 Reaction score 139,979 Jul 24, 2024 #45 Ngury said: Si wangeandika sandaland kuliko kujifanya wanaandika kwa kifupi wameharibu kila kitu wamewapa cha kuongea Yanga. Click to expand... Ujanja mwingi plus uvivu wa kufikiri ndio matokeo ya haya
Ngury said: Si wangeandika sandaland kuliko kujifanya wanaandika kwa kifupi wameharibu kila kitu wamewapa cha kuongea Yanga. Click to expand... Ujanja mwingi plus uvivu wa kufikiri ndio matokeo ya haya
Bantu Lady JF-Expert Member Joined Jan 9, 2014 Posts 9,869 Reaction score 32,712 Jul 24, 2024 #46 Mbona kinyonge sana, dah mmeshazikwa na sanda, ndiyo basi tena. Hiyo blue huwa kama za Azam.
Mahondaw JF-Expert Member Joined Apr 9, 2013 Posts 75,347 Reaction score 185,317 Jul 24, 2024 #47 Smart911 said: Ahsante kwa taarifa... Cc: Mahondaw Click to expand... Wakiweka za yanga Naomba nistue lo
Smart911 said: Ahsante kwa taarifa... Cc: Mahondaw Click to expand... Wakiweka za yanga Naomba nistue lo
Leonce jr JF-Expert Member Joined Oct 5, 2023 Posts 3,217 Reaction score 5,292 Jul 24, 2024 #48 Heparin said: Timu ya Simba imetambulisha rasmi jezi zake itakazozitumia msimu wa 2024/25. Karibu kutazama uzi huo. View attachment 3050879View attachment 3050880View attachment 3050882View attachment 3050875 Click to expand... Watu waongo sasa hio sanda fc iko wapi
Heparin said: Timu ya Simba imetambulisha rasmi jezi zake itakazozitumia msimu wa 2024/25. Karibu kutazama uzi huo. View attachment 3050879View attachment 3050880View attachment 3050882View attachment 3050875 Click to expand... Watu waongo sasa hio sanda fc iko wapi
BRN JF-Expert Member Joined Nov 18, 2013 Posts 5,444 Reaction score 6,984 Jul 25, 2024 #49 Sema zinauzwa sana na mzuri..hiyo Sanda si wanheandika hivi:; Sunder