Jezi namaba 9 mgongoni Halima mdee

Huyo jamaa mwenye scurf nyuma ya Mdee kwenye kila picha yuko nayo.
 
hahahahhaaaaa......
Watu wanafuga vitimoto na mabata wewe unafuga ndevu??
Imekula kwako mazima.....
Fuga manyonyo labda yanaweza kutoa megawatt kadhaa....
Hahahahah...

wacha utani na wateule wa chaguo la Mungu wewe.
Source: Askofu Kilaini
 
Hivi kunyoa nywele zote kichwani mtu mzima, maana yake nini? Ngeleja Bwana!
 
Twiga stars wamewalazia damu hawa ungetakiwa wawachape kama 100 wawaonyeshe uchungu wa ugumu wa maisha unaotuandama sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…