Jezi namaba 9 mgongoni Halima mdee

no box mkuu.
Niko kitaa nafuga ndevu...

hahahahhaaaaa......
Watu wanafuga vitimoto na mabata wewe unafuga ndevu??
Imekula kwako mazima.....
Fuga manyonyo labda yanaweza kutoa megawatt kadhaa....
Hahahahah...
 
Hili jicho la Ngeleja hili. . . Usije ukatuletea Gamba Gwandani baba! Chonde Chonde

hayachagui rangi wala dini.. but big up wabunge wote kwa kuisaidia timu ya wadada wetu .
 
Mbona jibaba kama linamuonea aibu jigwanda? au anatangaza nia?
 
Halima Mdee akiteta na Ngeleja wakati wa mechi ya kuichangia Twiga Stars
View attachment 46151
"Kaka hao sisem wakikuzingua usikonde nimeshaongea na Nyepesi kuhusu ishu yako ya kuhamia CDM na mimi niende huko Sisiemu, si iko sawa". "Mtoto una akili wewe, ndo maana nakupenda, tupige soka basi afu tutakutana Nyumbani Lounge tumalizie story".
 
wabunge walifungwa goal 2 - 1. goal lao la kufutia machozi la wabunge lilifungwa na Adam malima kwa samasoti. Mia
 
"............leo utakuwa umechoka sana....jitahidi ukanipe japo kimoja tu............."

Bahati nzuri inaonekana wenzetu huwa hawatemi kitu mbaya kunako mdomo...la sivyo....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…