F french JF-Expert Member Joined Aug 2, 2017 Posts 3,648 Reaction score 3,864 Jul 25, 2019 #1 Jezi mpya ya arsenal original nitaipata wapi wakuu hapa dar
F french JF-Expert Member Joined Aug 2, 2017 Posts 3,648 Reaction score 3,864 Jul 25, 2019 Thread starter #2 french said: Jezi mpya ya arsenal original nitaipata wapi wakuu hapa dar Click to expand... Hapa kariakoo sijaona
french said: Jezi mpya ya arsenal original nitaipata wapi wakuu hapa dar Click to expand... Hapa kariakoo sijaona
TheGodfather95 JF-Expert Member Joined Sep 27, 2014 Posts 1,764 Reaction score 1,836 Jul 25, 2019 #3 french said: Jezi mpya ya arsenal original nitaipata wapi wakuu hapa dar Click to expand... Ingia website ya Arsenal wanauza hakuna Jersey OG kariakoo mkuu, lipia tu online mzigo utafika.
french said: Jezi mpya ya arsenal original nitaipata wapi wakuu hapa dar Click to expand... Ingia website ya Arsenal wanauza hakuna Jersey OG kariakoo mkuu, lipia tu online mzigo utafika.
Viol JF-Expert Member Joined Dec 15, 2009 Posts 25,419 Reaction score 18,373 Jul 25, 2019 #4 Mcheki Shaffi Dauda Instagram
makaveli10 JF-Expert Member Joined Mar 27, 2013 Posts 37,700 Reaction score 109,223 Jul 25, 2019 #5 Jezi original (orijilino) nunua mtandaoni kwa wenyewe huko, huku tz hakuna OG kuna zenye afadhali tu, hakuna cha shafi, sijui duka gani, jezi utauziwa 35k mpaka 25k za kibongo, wakati wenyewe huku jezi ya juu si chini ya pound 50.
Jezi original (orijilino) nunua mtandaoni kwa wenyewe huko, huku tz hakuna OG kuna zenye afadhali tu, hakuna cha shafi, sijui duka gani, jezi utauziwa 35k mpaka 25k za kibongo, wakati wenyewe huku jezi ya juu si chini ya pound 50.