Jet Li wa Romeo Must Die: Maradhi yanayomkabili ni suala la hujafa hujaumbika

Ila maisha yanabadilika sana yani wapiganaji wa zamani kama jet lee mark dagascos mzee wa drive, don yen wanapotea yani siku hizi wacheza movie wa. Com hata siwajui . Effects zimekua nyingi sana mpaka zinaboa.
Enzi hizo watoto tunacheki....
American ninja
Drive
The one
The boss( bruce lee)
The Master( jet lee)
Hard target unakuta babu mmoja matata anakwambia CHIINDO.
Kina cyncia khan rocky
Now wamebaki mabishoo tu hamna mkono wala nini mapenzi mengi Shubamiiti.
sasa hivi ni wauza sura tu na ma season yao,
 
Yule mbibi Cynthia rothrock hataree sana, hivi bado yupo hai?
 
Starring wangu wa maisha
Ila Mel Gibson yule mzee comedian jamani, mi ananiachaga hoi!

Kuna siku kwenye movie moja hivi, ilikuwa Taiwan nadhan, aliigiza mjeda, basi siku moja walitoroka kambini na mwenzake wakiwa na chopa wakaenda kulewa huko vijijini, wakazima wakashindwa kurudi kambini!

Kesho yake asubuhi mwenzake hajiwezi bado amezima, eti akamfunga kamba kiunoni halafu akaikaza kwenye mlango wa chopa, huyoo akapaa zake, jamaa ananing'inia hewani, jamaa alizindukia huko huko hewani alipiga kelele huyo :D :D :D :D .... ( nimechoka kutype
 
maajabu sasa,kwenye cradle to the grave DMX alimkalisha kiaina
Ndio mapicha yalivyo ila ukiangalia picha za jamaa na kama unapenda mapigano huyu ndo MTU sahihi.angalia shughuli take kwenye forbidden kingdom
 
Hivi yule adui wa kwenye movie inayoitwa DRAGON TIGER GATE sio Jet Li yule? Ile ambayo Starring Donie Yen na wadogo zake wawili
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom