golwebo_mkuu
JF-Expert Member
- Mar 31, 2011
- 2,270
- 693
Kazi kwelikweli. Uamsho wataamka sasa hivi.Ina Mgambo wanaitwa KMKM..nchi hii kuna jeshi moja tu la ulinzi-JWTZ(Jeshi la Wananchi la Tanganyika)..na amri jeshi ni Rais wa Tanganyika..uyo rais wa mtaa wa Znz ni picha tu.
Lakini huyu wa Tz kule hasemi kitu, hawezi kumfuta kazi hata mkuu wa wilaya...hii imekaaje ? Hawezi kugawa mkoa wala wilaya...lakini hiyo Picha inafanya hayo.Ina Mgambo wanaitwa KMKM..nchi hii kuna jeshi moja tu la ulinzi-JWTZ(Jeshi la Wananchi la Tanganyika)..na amri jeshi ni Rais wa Tanganyika..uyo rais wa mtaa wa Znz ni picha tu.
Lakini huyu wa Tz kule hasemi kitu, hawezi kumfuta kazi hata mkuu wa wilaya...hii imekaaje ? Hawezi kugawa mkoa wala wilaya...lakini hiyo Picha inafanya hayo.
Mawazo yangu tu mkuu
Lakini huyu wa Tz kule hasemi kitu, hawezi kumfuta kazi hata mkuu wa wilaya...hii imekaaje ? Hawezi kugawa mkoa wala wilaya...lakini hiyo Picha inafanya hayo.
Mawazo yangu tu mkuu
Kazi kwelikweli. Uamsho wataamka sasa hivi.
Mtoto wa mkulima mbona alishafunga mjadala? SIYO NCHI ni wilaya katika mkoa wa Dar au unataka tumwite aje alie hapa jfZanzibar sio nchi, ilikuwa kabla haijajiunga na nchi nyingine Tanganyika. ina mgambo kama wale wa vijijini Mwanza.