Jeshi la Rwanda ni la kisasa!!



Tukiingia nao vitani hawa watatushinda, maana ake mwanajeshi mwanaume rijali hawezi kuapiga risasi au kuwaua wanawake wazuri kama hawa.
 
Yule traffic wa misenyi anatakiwa akaombe kazi kwenye jeshi la Rwanda
 
Kana fanana fanana na libya hiyo na mwisho wake ni kubakwa
 
Tuache ushamba kupost uzi usiokuwa na hoja hai.Hivi hao warembo watatu ndio picha ya kutuonesha kuwa wanajeshi wote wa kike Rwanda wako hivyo.Mbona hata Tz wakiteua wao watatu kama hao wa Rwanda utakuta wapo wakali zaidi ya hao na hao utawaona takataka tu .Halafu tuwe weledi katika maisha ya leo.Wasanii na wananchi wa kawaida wanavaa gwanda za jeshi na inawezekana hao ni miongoni mwao.Angalia video mbalimbali za wasanii wakitumia gwanda za jeshi na nyingine zina nembo vya nchi.Halafu kumbuka tukiwa vitani hakuna mapenzi kule,vilevile hata uwe mrembo kiasi gani wewe utabaki ni adui tu.Kama utawavutia sana watu basi utabakwa kisha utauliwa tu.Warembo wapo ktk kila sehemu na kila kada,ni hali ya kawaida hiyo isiwazuzue.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…