M Mkulima JF-Expert Member Joined Feb 4, 2007 Posts 1,583 Reaction score 2,655 Jun 4, 2013 #1 Tofauti na alivyosema Jussa, inaelekea jeshi la polisi liko chini ya Muungano. Au kutakuwa na majeshi matatu ya polisi?
Tofauti na alivyosema Jussa, inaelekea jeshi la polisi liko chini ya Muungano. Au kutakuwa na majeshi matatu ya polisi?
M Mkulima JF-Expert Member Joined Feb 4, 2007 Posts 1,583 Reaction score 2,655 Jun 4, 2013 Thread starter #2 220. Taasisi za ulinzi na usalama wa Taifa ni- (a) Jeshi la Wananchi wa Tanzania; (b) Jeshi la Polisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania; na (c) Idara ya Usalama wa Taifa.
220. Taasisi za ulinzi na usalama wa Taifa ni- (a) Jeshi la Wananchi wa Tanzania; (b) Jeshi la Polisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania; na (c) Idara ya Usalama wa Taifa.