Tanzaniaone
Member
- Apr 21, 2012
- 28
- 25
UBABAISHAJI WA JESHI LA POLISI
Ninapenda kuchukua fursa hii kuelezea ubabaishaji na ukosefu wa mbinu shirikishi Katika ulinzi halisi wa wananchi na Mali zao,Katika Hali isiyo ya kawaida nimeshangazwa saana kusikia kuwa msemaji wa jeshi la polisi akisema kupitia Radio BBC leo asubuhi ,​kutaanzishwa utaratibu wa polisi kutembelea majumbani kwa ajili ya kuulizia usalama wa ngapi za familia,hivi ni kutafuta Sifa?umaarufu?tunapaswa tujiulize kuna Askari wangapi na familia zipo ngapi Tanzania?ina maana tutakuwa na Askari wazurulaji kusalimia kila nyumba?
Hii ni dalili ya jeshi la polisi kukosa ubunifu wa kudhibiti uhalifu nchini,
Nikiwa mdau wa maendeleo na usalama wa nchi hii,nilipata fursa ya kuhudhuria smart partnership dialogue hapa Ilala,na nilipendekeza na ninarudia kupendekeza yafuatayo na wanajamii wenzangu mchangie Kama mtakavyoona inafaa,
Jeshi la polisi kuliko kuwahadaa wananchi na kusababisha mwanya wa Askari fake kutembelea majumbani na kupita ninaomba jeshi la polisi lifanye yafuatayo,
mfumo wa ulinzi shirikishi uliopo sasa uvunjwe na utengenezwe mfumo mpya wa ulinzi shirikishi kuanzia ngazi ya wa jumble wa nyumba 10/10,serikali za mitaa ,na mtendaji ,polisi Jamii wawajibike moja kwa moja kwa ngazi hiyo na jeshi la polisi kwa kushirikiana moja kwa moja na ngazi hiyo watajua Hali ya usalama kila sehemu,endapo tu kutakuwa na mfumo shirikishi kwa na uwajibikaji,kwani mfumo uliopo sasa wa Askari shirikishi ni kitengo CHA askari kukusanyia pesa kutoka kwa wahalifu mitaa ni has a wauza gongo,bangi,mirungi na madawa ya kulevya,lakini Kama utatengenezwa mfumo mzuri wa na hao Askari Jamii wakawa chini ya ngazi hizo itazuia uhalifu kwa kiasi kikubwa kwani endapo tu kutakuwa na tukio lolote Kama Katika baadhi ya mitaa ya ilala magomeni na kinondoni kulikojaa mateja ,Katika mfumo huo mpya inatakiwa itengenezwe Hali ya uwajibikaji na ambaye mtaa wake unakuwa na mateja,wavuta na wauzaji bangi,madawa ya kulevya awajibike kwani uzoefu unaonyesha kuwa wahalifu wengi hupokea sehemu moja na kwenda kufanya uhalifu sehemu nyingine,endapo kutakuwa na mfumo mzuri jeshi la polisi litapata taarifa za kila Siku kutokea ngazi za mtaa kupitia ulinzi shirikishi tofauti na ulivyo sasa kwani hauna tija na magenge ya rushwa,jeshi la polisi kwa nini litumie Muda na Askari Huku wakijua hawatoshi kwenda kusalimia watu majumbani Wakati wanajua kuwa huo mipango siyo endelevu?kwa nini wasiwashirikishe mabalozi,wenye biti wa serikali za mitaa na waste ndani pia wapewe hao Askari Jamii?hivyo itakuwaje hata ni Rahisi kujua wageni waliopo Katika baadhi ya mitaa na sehemu na vining mbalimbali,ninarudia kutoa ushauri kuwa tengenezeni network moja bila kujali itikadi za kisiasa,na mvunje mfumo wa rushwa wa polisi Jamii uliopo ,
nawasilisha