Ungetusaidia zaidi wale ambao hatukupata kuisoma habari kutoka gazeti la Mtanzania kama ungeiweka hapa nasi tukaweza kuisoma ili kupata picha kwa mapana kuhusu maudhui ya habari yenyewe iliyopelekea polisi kukanusha na bila kuchukua hatua za kisheria.
Kweli ukipenda chongo utaita mtoto wa jicho na pengo utasema mwanya. ina maana hujawahi kuisikiliza redio Imaan wewe?Ungetusaidia zaidi wale ambao hatukupata kuisoma habari kutoka gazeti la Mtanzania kama ungeiweka hapa nasi tukaweza kuisoma ili kupata picha kwa mapana kuhusu maudhui ya habari yenyewe iliyopelekea polisi kukanusha na bila kuchukua hatua za kisheria.
Kweli ukipenda chongo utaita mtoto wa jicho na pengo utasema mwanya. ina maana hujawahi kuisikiliza redio Imaan wewe?
Habari nzima ipo hapa JF kama ilivyoandikwa gazetini.
Huyu naye hujawahi kumskia? na hajawahi hata kuhojiwa na Polisi.Mkuu,
Sijawahi kuisikiliza na haipatikani kwenye internet kwa sisi tusiokuwa nchini. Radio nyingi za Tanzania zinapatikana kwenye Tunein Radio ndani ya internet lakini kwa hii haipo
Huyu naye hujawahi kumskia? na hajawahi hata kuhojiwa na Polisi.
SHEIKH ILUNGA: Wauweni Maaskofu na Mapadre
www.youtube.comSheikh Ilunga Hassan akiwahamasisha Waislam kuwauwa Maaskofu na Mapadre.
Pamoja na kadhia ya
polisi,lakini ni vema tutakangalia pia utendaji au mtazamo wa waziri wa
Habari na Michezo Dr Fenella Mukangala kwa tasnia nzima ya habari. Tangu
ashike usukani, Mwanahalisi limefungiwa, Daudi Mwangisi kauliwa, na
sasa Mhariri wa Tanzania Daima anapambana na polisi.
Kwenye hili la Tanzania Daima tunaambiwa ni kwasababu ya uchochezi,
lakini inakuwaje gezeti kam Al-nuur lipo, au radio Imaan. Sijui waziri
huyu msomi anatumia viwango gani kukagua vyombo vya habari?
Mkuu,
Sijawahi kuisikiliza na haipatikani kwenye internet kwa sisi tusiokuwa nchini. Radio nyingi za Tanzania zinapatikana kwenye Tunein Radio ndani ya internet lakini kwa hii haipo