samirnasri
JF-Expert Member
- Nov 8, 2010
- 1,388
- 215
Ni kwa kutoa kauli za uchochezi katika mikutano ya hadhara Mwanza na geita
source: Star tv news
wanasema alitoa vitisho kwa serikali kwa kuipa serikali siku 3 iwatibu wabunge walioshambuliwa na kulipa jeshi la polisi siku 7 likamilishe uchunguzi kwa sakata hili. Kauli hiyo inasemwa ni kinyume na sheria.
Badala ya kuwatia mbaroni wakata mapanga wao wanataka wamtie mbaroni anayetaka watu watibiwe, am missing something here.wanasema alitoa vitisho kwa serikali kwa kuipa serikali siku 3 iwatibu wabunge walioshambuliwa na kulipa jeshi la polisi siku 7 likamilishe uchunguzi kwa sakata hili. Kauli hiyo inasemwa ni kinyume na sheria.
Badala ya kukamata wahalifu waliowakata mapanga wabunge wao wanashughulika na Dr Slaa. Nchi hii kichwa cha mwendawazimu kweli