Jeshi la Polisi haliweki usalama zanzibar bali linalipiza kisasi...


Huku Bara kila mtu ni DUME ZIMA, madume jike yapo Forodhani yanajiita Anti Salma (Salim), Anti Mudi n.k. Hako kademu kenu kana mdomo mchafu huo hukuuona ila ukaona waliyoongea wanaume. Anathubutu kumwambia mwanaume mweusi ANAWASHWA?

Hatujidai, tunaipenda CDM. Haya mambo ya UAMSHO na vurugu na ubaguzi wa Wazaainzi-baa vinahusiana nini na CDM? Wakati mnasema mtamuua fulani na fulani hamkuihusisha CDM saa hizi mnasakwa kwa madhambi yenu ndio mnataka utetezi wa CDM.

Wewe kula matembele kabisa usijepungukiwa damu ukinyolewa. Mmeambiwa mjisalimishe wote mliochoma matairi na kuvunja vioo vya magari ya watu hamtaki, sasa subiri mfuatwe kunyolewa majumbani mwenu.
 
Mbona unatoka povu hivyo, salama bimkubwa?

Pombe zangu wewe zinakuhusu nini? Nyie wapemba wabaguzi sana, umeona mbaya pombe tu, mbona usikemee madawa ya kulevya?

By the way, we umeshanyolewa?
yuko kwenye foleni huyooooo
Hebu ngoja nitoke nje nicheki foleni imefikia wapi manake wako wengi kuliko hata wale waliokwenda kunywa kikombe
Hii style wanaiita uamsho cut
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…