wanajeshi wa mafunzo ya JKT maalufu kama makuruta wamefukuzwa na mkuu wa kambi pasipo sababu ya msingi baada ya mwezi 1 kwenye mafunzo kinacho semekana kuwa sababu ni maelewano mabaya kati ya mkuu wa kambi CO na msahiri kutoka makao makuu dar es salaam idadi walio fukuzwa ni makuruti ni 100 ila walio tolewa nje ya kambi ni 69 tu je hii ni haki wahukumiwe watu wa sio na makosa

MY FRIEND THAT IS JESHI PERSE,NANI KAKUAMBIA KUNA DEMOCRACY KWENYE ARMY,THE FORMULA IS KISS(keep it simple stupid)ndo maisha ya army rafiki,acha kukomplain

mimi nimepita hapo mwaka 1985, mlangoni kulikuwa na kabamizi, kairon, B- coy kulikuwa na kimbunga , parahara na wengine. Chakula mpaka unyakue mara tatu. afande aangalie na namba ya kiatu. Jeshi linataka nidahamu na akili nyingi.
wanajeshi wa mafunzo ya JKT maalufu kama makuruta wamefukuzwa na mkuu wa kambi pasipo sababu ya msingi baada ya mwezi 1 kwenye mafunzo kinacho semekana kuwa sababu ni maelewano mabaya kati ya mkuu wa kambi CO na msahiri kutoka makao makuu dar es salaam idadi walio fukuzwa ni makuruti ni 100 ila walio tolewa nje ya kambi ni 69 tu je hii ni haki wahukumiwe watu wa sio na makosa
Malalamiko ya makambini unayaleta kwetu, tena hapa JF? kwa kweli unaonekana huifahamu hiyo taasisi inayoitwa Jeshi, kule hakuna kuhoji wala kuonewa kila kitu ni "Ndio Afande"