Jesca Magufuli asimulia moja ya OUTING ya baba yeke

USSR

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2015
Posts
12,008
Reaction score
28,370
Kuna siku Baba alisema anatutoa OUT...! Tulijiandaa tukavaa vizuri ila tukashangaa tunaenda kukagua daraja la Kigamboni na sisi tukageuka wasaidizi wake akawa anaomba tumpigie picha...! Tulivyomaliza akasema OUTING imeisha turudi nyumbani...! Akatupatia hela kidogo"-JESSICA
 
Nani ana namba yake... hapa kuna buku limezagaa zagaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…