Jerusalem is ours whether you want or not!

The headquarter of religious pope is Vatican and now we are establishing a world ruler headquarters (the black Pope). Very conspiring
 
Maandiko yanasema; maandiko yapi hayo? Yale mnayoyatukana kila siku? Ninyi watu ni manafiki wa kiwango cha kuzimu. GOD BLESS YOUR PEOPLE, GOD BLESS ISRAEL. AMEN.


Jerusalem to host Israel’s main gay pride parade — report


Backers of shift from Tel Aviv to capital hope to highlight issue of equal rights for LGBT community





Israel’s main gay pride parade will reportedly take place this year in Jerusalem, rather than in Tel Aviv where it is traditionally held.
 


NI KWELI ISRAELI IKO VIZURI SANA ANGALIA MASHOGA HAPO KWENYE PICHA

GAY PRIDE IN TEL AVIV


200,000 party at Israel Gay Pride Parade, region's biggest



 

NI KWELI ISRAELI IKO VIZURI SANA ANGALIA MASHOGA HAPO KWENYE PICHA

GAY PRIDE IN TEL AVIV


200,000 party at Israel Gay Pride Parade, region's biggest



kwani Tanzania Hakuna mashoga? tena wengi ni wana ccm.
 
Hivi Wayahudi wakihamishia Gay pride parade inayofanyikia Tel Aviv kila mwaka kwenda Jerusalem itakuwaje.

Hawa jamaa wanainajisi ardhi takatifu hivihivi!
 
Hao ni wadhungu mambo leo wamevamia nchi kama walivyo fanya America, Australia nk..,,
Hamna la ajabu!
Mpalestina atulie tu maana yeye pia ni mvamizi!
Ngoma draw!
 
Hivi Wayahudi wakihamishia Gay pride parade inayofanyikia Tel Aviv kila mwaka kwenda Jerusalem itakuwaje.

Hawa jamaa wanainajisi ardhi takatifu hivihivi!
Ardhi takatifu ni NCHI YETU TANZANIA!
 
Hivi Wayahudi wakihamishia Gay pride parade inayofanyikia Tel Aviv kila mwaka kwenda Jerusalem itakuwaje.

Hawa jamaa wanainajisi ardhi takatifu hivihivi!

Hivi maana ya ardhi takatifu ni ipi hasa? Hivi utakatifu wa Jerusalem ni upi? Unatokana na nini? Ushoga ukihamia huko utakatifu wake utakoma? Ushoga uko Israel peke yake? Utakatifu wa mahali (kama upo) unaweza kuondolewa? Kama ndio; na nini?

Je, Jerusalem kuna dhambi nyingine (nje ya ushoga) zimewahi kutendeka, zinatendeka, na zitaendelea kutendeka humo? Je, dhambi hizi zipo Jerusalem/Israel peke yake? Au na mahali pengine duniani? Kama wapi? Kuna mahali hazipo? Kama ndio, kama wapi?

Kuna sehemu nyingine duniani ni takatifu nje ya Jerusalem? Kama ndio, wapi? Utakatifu wa sehemu hiyo unatokana na nini? Ushoga upo sehemu hizo? Kuna dhambi zozote zinatendeka sehemu hizo?

Ushoga ni dhambi kama dhambi nyingine na wote watendao hayo sehemu yao ni katika lile Ziwa liwakalo moto no matter wako Tel Aviv, Jerusalem, Makkah, au pengine popote. Utakatifu wa Jerusalem utadumu hadi hapo maneno haya yatakapobatilika "O my people, enter the Holy Land which Allaah has assigned to you and do not turn back [from fighting in Allaah’s cause] and [thus] become losers.".
 


Lkn wewe siyo Myahudi hivyo haiwezi kuwa yako na wala hawakutaki!
 
Wapalestina Mungu yupo nanyi....ipo siku haki yenu itapatikana,,, hivyo msikate tamaa!
Haki ipi mkuu? Haki ya kupora Jerusalem yote iwe yao na kuifuta Israel Duniani? Ndo haki ya wapalestina hiyo unayosema wataipata? Ni bora Iran atoe ardhi awape wapalestina, otherwise wataisha kweli.
 
Ardhi takatifu ni NCHI YETU TANZANIA!
Tanzania siyo ardhi takatifu, acha kuvutia bange chooni, ardhi takatifu haiwezi kunuka umaskini Kama kinyesi, ardhi takatifu haina watu wasiojulikana, pumbavu Sana wewe.
 
Lkn wewe siyo Myahudi hivyo haiwezi kuwa yako na wala hawakutaki!
Wewe mbona huwa unawashwa washwa Sana, hawamtaki unamjua mtoa mada,?unamjua anaishi wapi? Unajua uraia wake? Acha tabia za kishenzi za ki CCM.
 
hizo habari za kusubiri inabii unaweza subiri hata karne sita, we acha waendelee kukeep their struggle alive hasa kipind hiki ambacho hata nchi kama tanzania zimeamua kuhamia upande wa pili..nchi nyng now hazina mwamko na issue ya palestine km zamani so now wakiamua kulala ndo basi tena
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…