Hawa CCM mimi nawashangaa wanadhani watanzania wa leo ni sawa na wa mwaka 47.
Eti anakuja kuzungumzia barabara ya Ukonga Moshibar leo mara ya tatu . Nani asiyejua kuwa unataka Ubunge ? Mbona mwaka jana walipotengeneza pale mwanzo hukuja? Acha kutaka vya dezo tunajua na tunatambua ujanja wako. Sasa wanaukonga tuweni macho huyu ni finding wa kimataiifa .