Jerry Silaa atangaza kugombea Ubunge Ukonga

Duh,msimu mwingine wa watanzania kudanganywa unakaribia! Ili wapewe ubunge wakifika bungeni wakitumikie chama badala ya umma..
 
Muulize yeye kama Meya ambaye ndiye msimamizi mkuu wa budget ya wilaya na miradi ikiwemo miundombinu amefanya nini kuondoa tatzo la miundombinu Ukonga...
 
Ni jambo la kuvutia na ukomavu wa kisiasa mfuasi wa Chadema kumpigia debe mfuasi wa CCM.
 
Afadhali mara dufu huyu aliyopo kuliko fisadi silaa amefilisi manispaa ya ilala iliyokuwa inaongoza kwa mapato na sasa ni ya mwisho. Mwaka jana ilitangazwa kuwa imefilisika hadi CAG akaleta wakaguzi. Na jerry slaa ana kesi ya mauaji aliyowekewa dhamana na mengi.
Kata yake ina miundombinu mbovu na uchafu umelundikana kila mahali. Hajawahi kuufanya mkutano wala kurudi kwa wananchi. Huyu fisadi hafai jamani
 
jery yupo fit anaweza kama atapitia CCM na sio CDM maana ukonga Wachaga si wengi na Wakurya waliopo hawana uwezo wa kumchagua Mbunge kupitia CDM maana kufanya hilo ni sawa na kulazimisha kivuli cha Mzungu kuwa cheupe.
 
Huyu aliyeshindwa kusimamia hata usafi tu ataweza nini? Kajamaa kachafu kuanzia nyumbani hadi ofisini!
 
jery yupo fit anaweza kama atapitia CCM na sio CDM maana ukonga Wachaga si wengi na Wakurya waliopo hawana uwezo wa kumchagua Mbunge kupitia CDM maana kufanya hilo ni sawa na kulazimisha kivuli cha Mzungu kuwa cheupe.
mkuu haka kajamaa hakafai, hata kupitia ccm, naamini ccm inao watu wazuri zaidi ya huyu anaye ishi na uchafu
 
jery yupo fit anaweza kama atapitia CCM na sio CDM maana ukonga Wachaga si wengi na Wakurya waliopo hawana uwezo wa kumchagua Mbunge kupitia CDM maana kufanya hilo ni sawa na kulazimisha kivuli cha Mzungu kuwa cheupe.

Wapumbavu utawajua kwa watakachoandika!
 
jery yupo fit anaweza kama atapitia CCM na sio CDM maana ukonga Wachaga si wengi na Wakurya waliopo hawana uwezo wa kumchagua Mbunge kupitia CDM maana kufanya hilo ni sawa na kulazimisha kivuli cha Mzungu kuwa cheupe.
teh teh, kwa hiyo ccm ni chama cha makabila yepi? Duh kazi ipo tanzania!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…