Bwana Mapesa
JF-Expert Member
- Apr 28, 2011
- 2,551
- 1,777
Hapo ndio tunafeli kila siku kipiga Mpira mkubwa bila kuwa na ushindi haina maana.Ipo siku kila mtu ataishangilia simba.......Simba kapiga mpira mkubwa sana.
Tumejitahidi kwa kweli ingawa bado tuna safari ndefu sana.Ipo siku kila mtu ataishangilia simba.......Simba kapiga mpira mkubwa sana.
Kwa kweli mi nimeipenda hii ya JerryMpira sio ugomvi.tubadilike
SimbaAnaangalia wapi kuna burudani zaidi katika soka
Halafu wale viongozi wapuuzi puuzi ndio mashabiki wa simba damu
yah.hatuwezi wote tukawa simba.au wote yanga..Kwa kweli mi nimeipenda hii ya Jerry
Kuishangilia simba ni kuwa na kinyongo na Yanga?Jerry ana kinyongo na Yanga, ana tabia za kike.
Kwa JerryKuishangilia simba ni kuwa na kinyongo na Yanga?