Jerry Muro: Kwa mwenye media aliyetayari tufumue uozo wa nchi hii aje tufanye kazi !

mkayala

JF-Expert Member
Feb 25, 2009
555
72
Jerry Muro akihojiwa katika kipindi cha weekend Chartshow cha CLOUDS TV.Alisema toka kes yake imeisha yuko huru na kwamba mwenye media yoyote aliyetayar kufumua uozo wa nchi hii kama deal la mgao wa umeme n.k aende wakafanye kazi....
 
Atumie tu vyombo huru, vyombo visivyoogopa kuuweka ukweli hadharani, kufumua uozo huo...
ila awe na tahadhari wasije wakammaliza kabisa... maana sasa wakimkamata mbaya wao watahakikisha kichwa wanatenganisha, isijetokea kama walivyomfanyia Ulimboka: walidhani wamemmaliza kumbe yu hai, sasa anawapa headeache, ndo maana wamejificha chini ya mwavuli wa mahakama..
 
Sisi vijana tungekuwa na spirit kama ya mchizi hi nchi ingefika mbali sana
 
Atumie tu vyombo huru, vyombo visivyoogopa kuuweka ukweli hadharani, kufumua uozo huo...
ila awe na tahadhari wasije wakammaliza kabisa... maana sasa wakimkamata mbaya wao watahakikisha kichwa wanatenganisha, isijetokea kama walivyomfanyia Ulimboka: walidhani wamemmaliza kumbe yu hai, sasa anawapa headeache, ndo maana wamejificha chini ya mwavuli wa mahakama..

Hata hivyo gar yake ilishapigwa risas mara 2 na ilitoka hata kwenye media!
 
Bongo kama unataka waku-uli we ongea ukwel na uingilie maslah yao.
 
Tena kaongea kwa uchungu sana,kasema hata wakimuua ni bora kuliko kuish kwa staili hii!

kiukweli hii nchi inahitaji watu wapya wa kujitolea kwa ajiri ya taifa, watakaobaki wasisahau tu kuwaweka kwenye kumbukumbu za mashujaa. Jerry ana gusa sana nyoyo za watanzania wengi wanaodhulumiwa na mafisadi wa ccm.
 
Back
Top Bottom