Wakuu,
Mbunge wa jimbo la Arumeru Mashariki ni Mgonjwa zaidi ya mwaka sasa.
Toka Kipindi cha Kampeni alikuwa mgonjwa sana. Ni Takribani mwaka na mwezi toka uchaguzi 2010 upite.
Umekuwa ni Utamaduni wa Viongozi wanaogua maradhi mbali mbali kupelekwa India na serikali, kwa ajili ya matibabu na Uchunguzi zaidi.
Je? mbona yeye hajapelekwa huko? Au alishaenda kimya kimya? Hata mkuu wa Nchi sijasikia ameenda kumtazama.